Kufuatia Kipigo Cha Goli 2-1 Walicho Kipokea Club ya Simba Leo Kwenye Mchezo wa Derby ya Kariakoo Dhida ya Watania Zao Yanga SC. Kocha Mkuu wa Club Hio Ameweka Wazi Kua Anaweza Kuondoka Klabuni Hapo
Kwenye Mahojiano Aliyo Fanya Leo Baada ya Mchezo Kocha BENCHIKHA Alitamka Haya;
"Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu"
BENCHIKHA ATISHIA "Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi"
Kwa Kauli Hizi Tutarajie Muda Wowote Tunaweza Sikia Kocha Huyo Kaachana na Club ya Simba
NB: Kwani Yeye Kocha Alitakaje 😀
0 Comments